rss

News and Events

PHOTO GALLERY- August 2015

Covenant Bank Photo Gallery

Wafugaji wakipata mafunzo kuhusu fursa za mikopo ya ufugaji Mkoani Tanga,

Wananchi wakifuatilia mafunzo juu ya ujasiriamali yakitolewa na Covenant Bank

Wafugaji wakipata mafunzo juu ya fursa za mikopo ya ng’ombe Mkoani - Tanga.

Covenant Bank ilipata fursa ya kushiriki katika maonesho ya wiki ya Maziwa yaliyofanyika kitaifa Mkoani - Manyara

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Bi Sabetha Mwambenja (katikati) katika picha ya pamoja na wajasiriamali.

Wanasemina wakitumia nafasi kusikilzwana kuhusu mahitaji yao na kuuliza maswali mbalimbali.

Wafugaji wakitembelea banda la Covenant Bank katika maonesho ya wiki ya maziwa Mkoani Manyara

Wanafunzi wa chuo cha ualimu cha Bariadi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank (hayupo pichani) alipowatembelea.

Wafugaji wakifuatilia vipeperushi vinavyoelezea fursa mbalimbali kupitia Covenant Bank.